Contact us

P.O. Box 105111,
Mikocheni B, Mlandege Street House No. 14
Dar es Salaam
call +255 22 2772322/ +255 772 630 373

Candidates

Check the latest vacancies. Read our career advices...

Personal qualities you must have at a job interview.

If you know you can handle the job, you are probably the employee the employer wants.  All you have...

read more

How to face an interview

When job hunting, most of us get excited when we hear our phone ringing and after our “Hello”, we...

read more

Is changing Employers the answer to job satisfaction?

An interesting question that is asked during interviews is ‘why would you want to work for our...

read more

I have two job offers, which one should I accept?

Before accepting a job offer you have to know what it is that you are looking for.  If you are in...

read more

Error message

Deprecated function: The each() function is deprecated. This message will be suppressed on further calls in _menu_load_objects() (line 569 of /home/elitecb0/public_html/includes/menu.inc).

ad

ad

JOB DESCRIPTION

FEMALE SALES EXECUTIVES (New)

Eneo la kazi

1)       Kupokea wateja na kuelewa hitaji la mteja.

2)      Kuhesabu hela na kupeleka hela za mauzo benki

3)      Kufahamu kuhusu Sales na promotion zilizopo dukani.

4)      Kukokotoa Bei ya Sales, Manunuzi  na kupokea mauzo ya cash au ya mkopo

5)      Kuweka kumbukumbu zote zinazohusiana na mauzo.

6)      Kuangalia na kutambua dalili za wizi na kujua jinsi ya kuzuia na kupambana nazo 

7)      Kusaidia mteja kuchagua na kupata hitaji lake kulingana na matakwa yake  

8)      Kujibu maswali yanayohusiana na duka na bidhaa zilizopo

9)      Kuelezea bidhaa kwa wateja

10)  Kuzipanga bidhaa visuri ili kuongeza mauzo

11)  Kusafisha ndani ya duka na kuhakikisha meza na viti ni visafi

12)  Kubadilishia mteja bidhaa kama itarudishwa kwa sababu maalum

13)  Kufungasha bidhaa kwa ajili ya wateja

14)  Kusaidia wateja kujaribu bidhaa

15)  Kuhesabu bidhaa zilizopo na kuomba bidhaa mpya zinapopungua dukani

16)   Kuangalia kama kuna bidhaa inahitaji marekebisho na kutoa taarifa

17)  Kuhakikisha matumizi yote ya dukani yamerekodiwa. Umeme, Usafi, ulinzi n.k

18)  Kuweka kumbukumbu ya namba, eneo na size za wateja wote

19)  Kutuma ujumbe kwa lugha nzuri wa kukumbusha mteja anayedaiwa kulipa

20)  Kutuma ujumbe kwa wateja pale ambapo bidhaa mpya zimeletwa

21)  Kupeleka mzigo kwa wateja wanapokuwa wameagiza au kununua

22)  Kuhudumia kila mteja sawasawa bila kubagua

Kwenye Mtandao

1.      Kutafuta wateja kupitia mitandao ya kijamii.

2.      Kupiga picha nzuri na kuziweka kwenye Instagram

3.      Kujibu wateja kwa ufanisi wanapoulizia bidhaa

4.      Kutafuta njia za kufanya mauzo kihalali na kuongeza wateja

Sifa za mwenye nafasi hii

·         Awe Mchangamfu

·         Awe anajua kuandika na kuhesabu

·         Awe ana lugha nzuri

·         Awe mwenye uelewa na kufanya kazi bila kusimamiwa

·         Awe na elimu ya kidato cha nne au Diploma tu.

·         Awe ana heshima

·         Awe ana uwezo wa kutumia simu ya Smartphone

·         Awe  anajua kuandika na kuzungumza Kiswahili na Kiingereza

Malipo

·         Mshahara kwa mwezi wa usafiri na chakula

·         Commission itakayotokana na mauzo atakayofanya

Kwa ambaye anajiona ana sifa na vigezo, atume CV yake Tu ( Bila Vyeti)  kwa cecilia@elitecareers.co.tz

Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 28 January 2018.

Our Clients Portfolio

Our Partners

Expaticore
Compandben

Follow us on Facebook